Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,767
- 7,599
Sawasawa, nadhani mwaka 2000 au 2001Nakumbuka aliwahi ondolewa uwaziri kwa kashfa ya sukari
Tuambie ni wapi mkuu. Uzi unauliza hivyo!Ngoja nikae kimya...kuna mahali hua namuona ila kimuonekano afya yake inaonosha hayuko poa nadhani ni uzee
Mkuu nakumbuka yupo na sitta kule gizaniNgoja nikae kimya...kuna mahali hua namuona ila kimuonekano afya yake inaonosha hayuko poa nadhani ni uzee
Wapi hukoNamuonaga na mke wake.
Huyu mzee umri umeshaenda sana.
Aliwah kusema bungeni yy Hana shida na viposho vya bunge kwan Ana hela za kutoshaWapi huko
Baada ya yale mambo ya UDA hakuna namna ni kukaa kimya tu.Habari zenu wanajukwaa. Mtakumbuka miaka ya nyuma alikuwepo mwanasisa nguli Iddi Simba. Aliwahi kuwa Mbunge wa Ilala na waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini. Sijamsikia siku nyingi wala kupata habari zozote zinazomuhusu. Hivi gwiji hili la siasa lipo wapi na linafanya nini sasa?