Yupo wapi 'kibibi Mmasa Bakari'?

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Uwezi kurudisha siku na nyakati nyumba, na daima Kuna vitu vikipita Huwa vimepita ijapokuwa si rahisi kusahaulika

Mimi niseme inaweza kuwa ni ndoto mbaya kwa Kibibi ikamsumbua kuliko wahanga.

Nilitamani kufahamu baada ya hapa, alibadili Majina yake au alihama nchi

EDITED

KIBIBI MMASA BAKAR ni Binti aliewagonga na gari wenzie wakati wa mahafali mwaka 2012, aliiba funguo za gari awaoneshe wenzie anajua kuendesha.

Moja ya wahanga wake ni WAKONTA KAPUNDA Ambae anaandika kutumia Ulimi
 
Pombe ikikata njoo u edit huu uzi tuelewe sote.
Ndio shida ya nyuzi za kuandikwa mkiwa bar
 
Nimemkumbuka yule binti, mbona inasemekana aligongwa na ndugu yake ...Yule binti sasa ni freelancer anapiga kazi za mitandaoni haswa kuandika makala mbalimbali.

Ilikuwa shule ya girls mahafali ya Form 6
 
Huyu binti aliyegonga wenzake alikuwa ni mmoja wa wahitimu wa form six katika shule ya Korogwe Girls. Ilikuwa siku ya mahafali yao. Baada ya ndugu zake kufika yeye akajidai anajua kuendesha gari ili kuwakoga wenzie. Ghafla bin vuu badala ya gari kwenda mbele yeye akaweka reverse na hivyo kuwagongwa wanafunzi wenzake kadhaa, kuua mmoja na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana akiwemo huyo mmoja ambaye hadi leo uwa anaandika kwa kutumia ulimi. Siku iligeuka ya kilio kikubwa hapo shuleni na wazazi wakaamua kuahirisha mahafali na kurudi majumbani mwao. Hicho ndicho ninachokumbuka.
 
Nimemkumbuka yule binti, mbona inasemekana aligongwa na ndugu yake ...Yule binti sasa ni freelancer anapiga kazi za mitandaoni haswa kuandika makala mbalimbali.

Ilikuwa shule ya girls mahafali ya Form 6
Binti yupi ni freelancer? Yule aliyegonga au aliyegongwa?
 
Uwezi kurudisha siku na nyakati nyumba, na daima Kuna vitu vikipita Huwa vimepita ijapokuwa si rahisi kusahaulika

Mimi niseme inaweza kuwa ni ndoto mbaya kwa Kibibi ikamsumbua kuliko wahanga.

Nilitamani kufahamu baada ya hapa, alibadili Majina yake au alihama nchi

EDITED

KIBIBI MMASA BAKAR ni Binti aliewagonga na gari wenzie wakati wa mahafali mwaka 2012, aliiba funguo za gari awaoneshe wenzie anajua kuendesha.

Moja ya wahanga wake ni WAKONTA KAPUNDA Ambae anaandika kutumia Ulimi
Huyo maisha yake yatakuwa kama yule alikutwa na kichwa cha mtu.

Atakuwa na wenge maisha yake yote.

Maana kupoteza uhai wa mtu si ishu ndogo aisee.

Lakini nawewe kwanini umemwanika mwenzako?

Usikute mwenzio alishajimix uko na ambao hawamjui lakini kwa taarifa hii watalazimika kumjua.

Grow up man ikiwezekana futa uzi kabisa
 
Asante Mkuu lakini nimejikuta namfikiria huyo dada sababu inawezekana bado ni nightmare kwake

Kama hakuwahi Kuvuka hapo
 
Uwezi kurudisha siku na nyakati nyumba, na daima Kuna vitu vikipita Huwa vimepita ijapokuwa si rahisi kusahaulika

Mimi niseme inaweza kuwa ni ndoto mbaya kwa Kibibi ikamsumbua kuliko
Lakini pia maadam hakufanya makusudi si hekima kukumbushia mambo mabaya yaliyofanyika pasipo kukusudia, unaweza pelekea matatizo zaidi kwa muhusika,
najua afrika inanoga zaidi kujadili matatizo kuliko mafanikio, ila sisi wachache tunaweza anzisha utamaduni mpya wa kuepuka kujadili mambo ambayo tunajua Yana athari mbaya kwa wenzetu,

Upendo na kusamehe utatuongoza kupambana na Roho zenye Nia ya kuibua chuki
 
Back
Top Bottom