Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,991
Hahaha yajayo yanachefua.....Watakuja wajuaji ngoja sisi tu comments kufanya uzi uendeelee kukaa juu huku wahusika wakijiandaa
ππππππ jf raha kwa kweliHahaha yajayo yanachefua.....
Kuna shida fulani ndani ya hiyo TV ya star times. Ni karibu wiki ya tatu sasa vipindi va asubuhi haviruki hewani ikiwemo hicho cha jicho letu ndani ya habari. Na watangazaji wengi ndani ya vyombo vya habari vya hicho kituo cha Dialo kuanzia radio free africa, kiss fm na star tv hawasikiki. Huenda kuna mgogoro wa malipo. Vipindi vingi hasa vya uchambuzi haviruki hewani.
Duuh !!!Ulikua una maanisha nini hapa mkuu?!
Ulikua una maanisha nini hapa mkuu?!