REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,252
- 11,481
KumbeeeeeeYupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Dah kumbe ndio mwenye kile kighorofa Mombasa stand kwa nyuma makaburini. anazo kibao zingine zipo majohe. kweli jamaa alikuwa anajitambua.Yupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Duh, hili neno analipenda sana huyu jamaa maana hata kwenye wimbo wake alikuwa mahali anasema, ANGWISA!! bila shaka ni malafyale huyu.Yupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Dah, jamaa kwenye huu wimbo ana mistari "MIKALI" sana.
vibe ya Leo, nkutaji ... enzi zileeee
sauti ya mtoto Sara ndo hatari sanaDah, jamaa kwenye huu wimbo ana mistari "MIKALI" sana.
Kumbeeeeee
One more chance.
Jamaa alikuwa anajua sana alichokuwa anakifanya
aliyetengeneza bit ya hii nyimbo aliipatia sana.haswa kwa kipindi kile
vibe ya Leo, nkutaji ... enzi zileeee
wa Marijani , yap alikuwa anazipika sana pale MJ kwa master Jay wa Bongo star searchaliyetengeneza bit ya hii nyimbo aliipatia sana.haswa kwa kipindi kile
Eeeh kambi popoteVp ushawahi kupigwa kazi nini kwenye hizo lodges
Mkuu,umeamua kumjibu kavukavu!Eeeh kambi popote
Enzi hizo wcb walikuwa bado wananyonya nyimbo za kiboya zinabamba disco Toto Kuku kapanda baskeli,dandu kurekod mamtoni anaonekana matawi,enzi zimebadilika siku mtoni ni km chooni tu kutwa Mara Tatu.tulipotoka ni mbaliiii,tuvumilianeeee.sahau yote yaliyopitaaaa .tuvumilianee.×2.jamaa enzi zao walipeta.na kina James mtoto wa dandu