ungeweka na picha yako kabisa tujiridhishe kabla atujaenda pmHabari zenu
Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya kimaisha,hatimaye leo hii nimekuja kwenu humu kwenye hili jukwaa mahususi kujaribu kumtafute yulee.
KUHUSU MIMI
umri:26
Elimu:chuo
Kazi:nimejiajiri
Sifa nyingine:sina gubu wala sipendi kujikera wala kukera mtu,mchapakazi,mkweli,mcheshi na muaminifu.
Muonekano:i look good
Kwanini natafuta mpenzi sasa iv?
Sababu maisha ya usingo mazuri ila upweke unakua hauchezi mbali na wewe,sometime unatafuta hata mtu kukuhug tight na kukupa moyo alafu unakosa.
Sifa za huyoo nimtafutaye
Awe na elimu form 4 na zaidi
Asiwe mtu wa tamaa,kuiga iga,tabia za kihuni huni na kishamba.
Awe muelewa na mwenye maono mapana.
Akiwa na kazi fresh asipokua na kazi pia poa.
Asiwe mnene sana
Nipm.
Maasalam
Shemela si ujitose ...!!Mungu akufanyie wepesi mkuu akupe wa kufanana na wewe
Hivi mwenye gubu anajijua kweli kama hana gubu [emoji848]
Mambo ya vijana hayo sisi wazee tumeshajizeekeaShemela si ujitose ...!!
Sawa mkuu kila la heriAsante ndio anajijua mamaa
[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43] mie sina gubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu akufanyie wepesi mkuu akupe wa kufanana na wewe
Hivi mwenye gubu anajijua kweli kama hana gubu [emoji848]
Mwaka usipite huu nikule mahari nyinginyingi.Mungu akufanyie wepesi mkuu akupe wa kufanana na wewe
Hivi mwenye gubu anajijua kweli kama hana gubu [emoji848]
Ukule mahari za nani tena jamani auntieMwaka usipite huu nikule mahari nyinginyingi.
Na wewe pia unajijua huna gubu mkuu[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43] mie sina gubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππUkule mahari za nani tena jamani auntie
Kabisa mie mpole mny'eny'ekevu na hekima bibieNa wewe pia unajijua huna gubu mkuu
Umejiajirije?! Muwe mnafafanua vizuri. [emoji849]Habari zenu