Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Yule kiumbe anayependa kiki kama Harmorapa (kwa jina tumuhifadhi, si unajua kasusiwa na midia)! Deep inside anatamani yeye ndiye angekuwa kwenye driving seat ya hii 'kiki' ya makininkia maana hii single imehit kweli kweli afu imepokelewa vizuri sana na wananchi, (kitu ambacho kitamuweka mfalme kwenye chati za juu kwa mda mrefu sana)...
Sasa tuache story mob tuweke mziki wenyewe!
NB: Plz, unapochangia usitaje jina la yule kiumbe. Wewe muite 'kiumbe' tu inatosha...
Fanya kama vile TV zinavyofanyaga, yani wanaweka sauti yake huku picha hawazieoneshi....