Chezea chozi la mtu mzima tena mwanaume?!yuko kijijini kwake kibaoni anaugulia kwa kutoaminika na boss wake waliofanya wote kazi kwa zaidi ya miaka 8
Habari wakuu,
Tangu uteuzi wa watia nia wa urais kupitia CCM umalizike na yeye kukatwa, hajaonekana tena wala kusikika. Hata TBC wakimuonesha kwenye mashamba ya zabibu hakuna. Je, yuko wapi?
Ni ngumu kumeza pale waziri mkuu ambaye amekuwa akijibu maswali ya papo kwa papo Bungeni na kuonekana kuwa na busara tele, kumbe hana kabisa maadili na sifa ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi; wakati katiba inampa nafasi endapo Rais hayupo nchini.
Namuona yuko Touchscreen hapo sijui ana log in JamiiForums?
Bilal kama alionja hiki kitu awezi acha teh teh teh.....
Nilidhani Anakitabu Anasoma Bible Kumbe Ni Simu? Kwangu Mimi Namuona Ni Muadilifu Sana Sasa Sijui Vigezo Vilivyotumika, Sijawahi Kumsikia Anatuhumiwa Kwa Makosa Yoyote Yale Ya Ubadhirifu,
Wacha porojo! Nunua Nipashe ya Leo iko picha Pinda na Meck Sadik wakimpokea JK jana akitokea Australia. Msiendekeze habari zisizo na mbele wala nyuma.