Yuko wapi SHAMIM KHAN

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
104
Mama huyu alikuwa mbunge na naibu waziri enzi za awamu ya tatu .........siku hizi yuko wapi?maana simsikiiii kabisa kwenye ulimwengu huu wa siasa.
 
Watu wa Morogoro, mji kasoro bahari hebu tujuzeni huyu mama yuko wapi.
 
Yupo Morogoro anauza bidhaa dukani
Ndo faida ya kuwa mjasiriamali.. Kazi za kupewa/kugombea zikifikia ukomo unaendeleaa na mambo yako.

Namtakia kila la kheri Mama Khan.
 
Watu saaaaaaaaaaaaaaaaaafi kama hawa wako peponi wanao hata uwasikii wakijijanuary au wakijridhiwani
 
Ijumaa iliopita nilimwona akitembea kwa miguu akitokea upande wa Wizara ya Ardhi, Utumishi na Mipango. Mimi nilikuwa naenda upande wa Ferry naye akawa anavuka ile junction ya Luthuli na Kivukoni (Azania Front?). She looked quite fine and healthy. Ninaamini hajafulia. Kutembea kwa miguu naamini was just a matter of choice on her part kwa ajili ya kukeep fit.
 
Dr. Maria Josephine Kam? Kama ndiye, she is still going strong. Yuko Moshi, ana Foundation yake inaitwa Clementina Foundation.

Ni kweli mkuu hata mimi nilionana naye mwanzoni mwa mwaka huu huko Moshi!
 

Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiiislam Tanzania(JUWAKITA) Mama Shamim Khan akiongea katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa mtume Muhammad (SAW) katika Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro akionyesha rasimu ya kanuni ya katiba ya Bakwata itakayosambazwa kwa Wanawake wa Kiislaam nchi nzima ili kutoa maoni yao ipate kuboreshwa na kupelekwa kwa Baraza la Maulamaa na sehemu husika ikikamilika iweze kutumika kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…