Yuko wapi Rama mla watu?

Yuko wapi Rama mla watu?

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
887
Ningependa mnijuze kuhusu ile kesi ya yule kijana aliyekamatwa na kichwa cha mtu,maeneo ya hospitali ya rufaa Muhimbili kwamba inaendeleaje?
 
Yaani yule dogo anatisha aisee, mimi nilimwona live akiwa na kile kichwa cha mtoto enzi zile nikisoma masters Muhimbili. Nilibahatika kupiga picha mbili tatu kwa kutumia kijisimu kidogo kilichokuwepo kibindoni.
 
Hivi ile issue ilikuwa na ukweli au ndio serikali ilitaka tusahau ule ufisadi wao wa BOT na Richmond kwa kipindi kile ndo kesi imepamba moto?
 
Dogo keshaachiwa ila mama ake kafungwa miaka 60,na dogo saivi ni konda kwenye magari ya TA yanayofanya ruti za gongo la mboto sinza
 
duh! Kweli ni noma. Walijua wakitangaza yule dogo atakuja kuuwawa uraiani nini?
 
Muulize mama rwakatare atakuwa na majibu mazuri sana kuhusiana na huyo dogo.
 
Naomba uniunganishe naye moja kwa moja nayeye bila kupitia ofisi zake,coz inaonekana uko naye karibu sana.
 
Habari zenu wadau
umepita mda mrefu sana tangu swala la huyu dogo aliekamatwagwa na kichwa cha mtoto Mariam na kuwekwa ndani. Ni moja kati ya matukio yaliyotikisa sn Tz hapa hebu naomba mwenye updates za kesi ya huyu Ramadhani ziliishia wapi
 
Yaani yule dogo anatisha aisee, mimi nilimwona live akiwa na kile kichwa cha mtoto enzi zile nikisoma masters Muhimbili. Nilibahatika kupiga picha mbili tatu kwa kutumia kijisimu kidogo kilichokuwepo kibindoni.

Sawa msomi mwenye elimu kubwa ya masters
 
Back
Top Bottom