M mnyinda JF-Expert Member Joined Sep 25, 2012 Posts 277 Reaction score 64 Nov 16, 2013 #1 Nimuda sasa hatumsikii wala ajulikani alipo mwana siasa mkongwe profesa Philemon Sarungi . Mwanasiasa huyu amewahi kuwa Waziri wa Ulinzi, yuko wapi?
Nimuda sasa hatumsikii wala ajulikani alipo mwana siasa mkongwe profesa Philemon Sarungi . Mwanasiasa huyu amewahi kuwa Waziri wa Ulinzi, yuko wapi?
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,647 Reaction score 11,227 Jul 14, 2018 #2 Dah hapa hakutokea hata mchangiaji mmoja
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,838 Jul 14, 2018 #3 Yuko kwenye mitandao kajaa tele!
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,065 Jul 14, 2018 #4 Unataka awashwe?
Vera ginger JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,463 Reaction score 1,901 Jul 14, 2018 #5 Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday Kawaharibu sana pua
Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday Kawaharibu sana pua
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,049 Reaction score 126,590 Jul 14, 2018 #6 Vera ginger said: Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday Kawaharibu sana pua Click to expand... Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike?
Vera ginger said: Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday Kawaharibu sana pua Click to expand... Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike?
Vera ginger JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,463 Reaction score 1,901 Jul 14, 2018 #7 Sasa ananyamaza kimya kwanini wakati watu wamemmiss mshua wake
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jul 14, 2018 #8 Anapumzika. Umri umemtupa mkono
C ChiefmTz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2008 Posts 2,942 Reaction score 951 Jul 14, 2018 #9 Katavi said: Anapumzika. Umri umemtupa mkono Click to expand... Ila ameshindwa kuendeleza ile taaluma ya kutibu mifupa bila ya POP
Katavi said: Anapumzika. Umri umemtupa mkono Click to expand... Ila ameshindwa kuendeleza ile taaluma ya kutibu mifupa bila ya POP
M maharage ya ukweni JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 1,416 Reaction score 3,236 Jul 14, 2018 #10 GENTAMYCINE said: Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike? Click to expand... Ngoja kwanza amalize kutambariziwa atakuja kujibu
GENTAMYCINE said: Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike? Click to expand... Ngoja kwanza amalize kutambariziwa atakuja kujibu
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,049 Reaction score 126,590 Jul 14, 2018 #11 maharage ya ukweni said: Ngoja kwanza amalize kutambariziwa atakuja kujibu Click to expand... Kutambariziwa ndiyo nini Mkuu? Naomba nielimishe katika hilo neno tafadhali kwani naliona sana humu JF.
maharage ya ukweni said: Ngoja kwanza amalize kutambariziwa atakuja kujibu Click to expand... Kutambariziwa ndiyo nini Mkuu? Naomba nielimishe katika hilo neno tafadhali kwani naliona sana humu JF.
M maharage ya ukweni JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 1,416 Reaction score 3,236 Jul 14, 2018 #12 GENTAMYCINE said: Kutambariziwa ndiyo nini Mkuu? Naomba nielimishe katika hilo neno tafadhali kwani naliona sana humu JF. Click to expand... Ha ha ha ha ha! Leo umeamua kulikana begi lako sababu lina meno ya tembo ndani?
GENTAMYCINE said: Kutambariziwa ndiyo nini Mkuu? Naomba nielimishe katika hilo neno tafadhali kwani naliona sana humu JF. Click to expand... Ha ha ha ha ha! Leo umeamua kulikana begi lako sababu lina meno ya tembo ndani?
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,319 Jul 14, 2018 #13 Yupo mzee wa bend
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Jul 14, 2018 #14 GENTAMYCINE said: Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike? Click to expand... Mtag tu
GENTAMYCINE said: Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike? Click to expand... Mtag tu
cariha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 22,067 Reaction score 46,653 Jul 14, 2018 #15 Vera ginger said: Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday Kawaharibu sana pua Click to expand... eti kawaharibu sana pua loh
Vera ginger said: Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday Kawaharibu sana pua Click to expand... eti kawaharibu sana pua loh
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,884 Reaction score 7,021 Aug 28, 2018 #16 GENTAMYCINE said: Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike? Click to expand... Mkuu umeadimika hapa JF.
GENTAMYCINE said: Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike? Click to expand... Mkuu umeadimika hapa JF.
B babakantuma Member Joined Jan 17, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Jan 30, 2019 #17 Hivi sura ya MTU inahusiana vipi na swali. Hebu tuwe serious jamani.
Mtini JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 1,493 Reaction score 2,366 Feb 8, 2019 #18 Katika kuchimbua nimeangukia hapa, majibu pls
FCR JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 213 Reaction score 177 Feb 8, 2019 #19 Mzee tupo hataki kuwashwa Sent using Jamii Forums mobile app