tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Ameingia mitini, baada ya mkwara wake alioutoa wakati alipoukwaa umakamu Mwenyekiti kuwa katika kipindi cha miezi 6 ya uongozi wake, kuwa atahakikisha kila aliyepata uongozi ndani ya CCM kwa rushwa atamng'oa, hivi sasa ni zaidi ya mwaka tokea atoe mkwara huo mzito, hajafanikiwa kumng'oa hata mwanamagamba mmoja!!!Katika harakati za kukiokoa Chama Cha Mapinduzi ilionekana kuwa Philip Mangula na Abdalahman Kinana wangeweza kufaa. Mangula akaukwaa Umakamu wa Mwenyekiti. Lakini cha kushangaza mzee Mangula hasikiki kabisa. Au ameona siasa wazifanyazo akina Kinana, Nape na Mwigulu za kukimbizana na wapinzani siyo saizi yake?
Katika harakati za kukiokoa Chama Cha Mapinduzi ilionekana kuwa Philip Mangula na Abdalahman Kinana wangeweza kufaa. Mangula akaukwaa Umakamu wa Mwenyekiti. Lakini cha kushangaza mzee Mangula hasikiki kabisa. Au ameona siasa wazifanyazo akina Kinana, Nape na Mwigulu za kukimbizana na wapinzani siyo saizi yake?