Yuko wapi Nsa Kaisi ?

In Cuba he was nicknamed " CAMILO". Ameitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa. Ingawa ana matatizo yake lakini hayalingani na haya tunayoyaona sasa. Ni askari na "KATSA" wa ukweli.
 
Duh, hawa wastaafu huwa wananyanyaswa mno, nilishawahi kutana na issue ya mstaafu mmoja ambaye alikuwa waziri kipindi ya Mwalimu, jamaa walikuwa wanamnyanganya kiwanja mbezi aisee. Ila wale matapeli kwa bahati walikimbia hawakurudi tena.
 
Kafariki leo 13/2/2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Rest In Protons.

Benjamin Mkapa, katika kitabu cha maisha yake, amemuandika Nsa Kaisi kama moja ya magwiji aliofanya nao kazi.

Ametueleza kwamba Nsa Kaisi ndiye aliyetunga maneno "Azimio la Arusha", Mwalimu Nyerere akapelekewa maneno hayo, akayafurahia, ndiyo tukapata jina la "Azimio la Arusha".

Source Benjamin William Mkapa "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzika kwa amani Col. Nsa Kais, mwana mwema na shupavu wa mama Tanganyika😢😢
 
Kwanini unazika watu wakiwa hai?
Nsa Kaisi afariki dunia
 

He fought his last battle bravely. May his soul have eternal Peace.
 
jamaa anapenda kusoma na hakuna mambo ya kubabaisha. hes a private person na kama unataka kumpata nenda kwa mzee beni atakuambaia rafiki yake yupo wapi

Indeed....alikuwa msomaji asiyechoka wa kitabu. Hata uzeeni was reading books and books.
Ndio maana akili yake haikuingia urojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…