Yuko wapi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa?

Yuko wapi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa?

ishenga

Senior Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
167
Reaction score
192
Wadau habari za jukwaniii kwa yanayondelea tuhuma mzito za Balazi Polepole na Dkt. Slaa ndugu yetu Msigwa msemaji wa serekali kajichimbia wapi au anasubiri wanafunzi wa vyuo awachimbe biti wakipost No Reform No Election?
 
Wadau habari za jukwaniii kwa yanayondelea tuhuma mzito za Balazi polepole na Dr slaaa ndugu yetu Msigwa msemaji wa serekali kajichimbia wap au anasubiri wanafaunzi wa vyuo awachimbe biti wakipost NO reform no election
Imbombo ngafu..!! Wamewatuma vibaraka watest mitambo kwanza. Wameona vibaraka wanakula spana za maana hivyo wanajipanga kivingine..!!
 
Wadau habari za jukwaniii kwa yanayondelea tuhuma mzito za Balazi Polepole na Dkt. Slaa ndugu yetu Msigwa msemaji wa serekali kajichimbia wapi au anasubiri wanafunzi wa vyuo awachimbe biti wakipost No Reform No Election?
Kachoka kudanganya .....anaona SONI
 
Wadau habari za jukwaniii kwa yanayondelea tuhuma mzito za Balazi Polepole na Dkt. Slaa ndugu yetu Msigwa msemaji wa serekali kajichimbia wapi au anasubiri wanafunzi wa vyuo awachimbe biti wakipost No Reform No Election?
Kapigwa Spana mpaka kapotea hana hamu
 
Lipo mitandaoni huko linafanya ujinga tu.
 
Atakuwa anahuisha cheti chake cha taaluma ya habari kama sio Kanjanja. :AYOOO:
 
Wadau habari za jukwaniii kwa yanayondelea tuhuma mzito za Balazi Polepole na Dkt. Slaa ndugu yetu Msigwa msemaji wa serekali kajichimbia wapi au anasubiri wanafunzi wa vyuo awachimbe biti wakipost No Reform No Election?
Ameenda kuyafuata mabasi ya DART yale ya kuelekea mbagala huko mchuchuma kiwandani
 
Wapanua midomo wanaogopa kumjibu polepole..maana polepole amebadili mbinu...Kila anayemjibu anachambuliwa kama karanga maovu karibia yote yanawekwa peupe na ukoo wako wote ujue kwamba pesa wanazopokea kwa ndugu yao ni pesa za wizi dhurma nk...sasa hao wengine wanamadhambi Hadi ya kutembea na wadogo za wake zao😀...watakapoanikwa Dunia itabaki Giza pasipo Nuru...Bora waendelee kukaa kimya wasomeshe watoto wao kwa pesa za dhurma, wanunue magari kwa pesa za dhurma watambe nayo, na vyakula wanavyokula majumbani kwao vimejaa laana...wapanue midomo yao aje atujuze polepole ndio mwendo😛😛
 
Kama mmenotice sasa hivi yuko Msemaji Mkuu wa Bi Mkubwa, familia yake na Serikali kwa ujumla.. Hana cheo chochote ila ndio Msemaji Rasmi. Bwana Mkubwa Muhindi Gabachori R.Aziz. Akiguswa tu Bi Mkubwa, huyu lazma achomoke. Msaidizi wake ni Mstaafu.

Michezo yao wanashindwa hata kujificha, kila kitu ni wazi hata mtoto mdogo anaona au anaweza kuconnect dots.
 
Back
Top Bottom