Dah leo nimetupia album ya Mr Paul (Ndani ya love) kwenye gari nikielekea shamba.. Album hii nilinunua kipindi nipo form one, nimeitunza mpaka leo. Album inanyimbo tamu sanaaa,,, zote ni tamuu hakika nimekuwa nikiisikiliza miaka yote lakini nyimbo za jamaa hazichoshi masikioni mwangu kamwe!
Potepote ulipo Mr Paul tambua yakuwa tumekumiss sana ndugu zako,,, rudi kwenye muziki kama utaweza bro... RnB za kiswahili wewe ulikuwa ndio Mfalme kaka!
Rudi mkuu... Rudi mkuu....