Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,305
- 34,644
Anajua kuzungumza.Huyu mzee vita zake mara nyingi huwa anashinda hata hii anaweza kushinda Gwajima huwa namchukulia serious sana
Sa hizi tungekua tunapata Nondo nzito toka kwa mzee wa CubaSema Kuna moment game iikua fire kulia Jasusi la mbinguni kushoto Mzee wa Cuba aiseee....Spana kwenda mbelee
Wakigeuka hivi captain Tesha,wakiangalia kule Mange Kimambi .Sema Kuna moment game iikua fire kulia Jasusi la mbinguni kushoto Mzee wa Cuba aiseee....Spana kwenda mbelee
Mzee wa kubagaza na kubananga aliwalaza sana na viatu kwa zile spana.. Respect to him popote alipo.!Sema Kuna moment game iikua fire kulia Jasusi la mbinguni kushoto Mzee wa Cuba aiseee....Spana kwenda mbelee
Nenda kanisani kwakeGwajima tunamuhitaji sana kipindi hiki tuendeleze harakati.
Yupo kimyaaa tangu oct 26 .
Tunamuhitaji atupe neno liweze kuponya nyoyo zetu.
Tunamuhitaji atupe dondoo mbili tatu na next moves baada ya hapa.
Nini hatima ya makanisa yake 2600 , je yupo tayari kukaa chini kujirudi ili makanisa yake yafunguliwe?
Nini kifanyike ili waumini wake wapate tena haki ya kuabudu?
Tunahitaji atupe mtazamo wake kuhusu uchaguzi huu uliofanyika na nini anaona kitaenda kutokea huko mbeleni.