Jahazi kamwe haliwezi kuzama,Naona linazidi kupepea.
Hakuna mwenye uwezo wa kulizamisha Jahazi la JPM,TAL hana jipya zaidi ya Malalamiko yaliyojaa kejeli badala ya sera kwa watanzania wenye uhitaji wa kusikia anautaka Urais wa nn Kwa kipindi hiki ambapo ni dhahiri hawez kushinda kabisa.