Zitto bwana, wenzake wanamtupia umbea yeye anaubeba kichwani anakatiza nao sokoni huku akipiga mayowe. Mara ajua. Awe makini tu.Mwombeni Zitto Kabwe azushe kuwa wasiojulikana wamemteka. Hapo baada ya masaa atajitokeza kukanusha huo utekaji.
Heri na iwe kwenu wadau.
Huyu jamaa hajaonekana hata kwenye shughuli za uchaguzi wa Chadema juzi, ndiyo tuamini kweli alinunuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa bwana! Leo hii huyo jamaa aliyependwa humu na kuonekana shujaa na mpambana naona sasa anaitwa haka!!?
Haaa haaa haaa bongo hatari sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu aliyeelimika katu huwa apondi palipomuinuaHuyu huenda akawa na akili kuliko padre slaa maana yeye anashirikiana na watesi wa nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale meno yake utadhani kanakula mijusiJuzi kati nilikaona mererani na wachina ! Eti kameleta wawekezaji, kajamaa kasanii ile mbaya !
Zitto Kabwe kachoka hana jipya, Kisiasa kwisha kabisa kwani Wahenga hawakoseagi. Walisema njia ya muongo ni FupiMwombeni Zitto Kabwe azushe kuwa wasiojulikana wamemteka. Hapo baada ya masaa atajitokeza kukanusha huo utekaji.
Yupo kwake USA RIVERHeri na iwe kwenu wadau.
Huyu jamaa hajaonekana hata kwenye shughuli za uchaguzi wa Chadema juzi, ndiyo tuamini kweli alinunuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo alizunguka na flash TAKUKURU aliposhindwa akaamua kuungana nao! Ni busara pia japo ni ya kipuuzi!
Umenichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],bado naendelea.kucheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela ya ccm? Au hela yetu wa Tanzania ccm hawana hela wanatumia mapato yanayo kusanywa na serikal, kwaiyo kuwaonga wana siasa njaaa nikitu chepesi kwao.Kadogo janja kalipiga hela ya ccm mbowe akakastukia mapema
Sent from my iPhone using JamiiForums
Anapiga nyungu kabla ya kurejea nyumbani. Siasa zetu hizi mtihaniHeri na iwe kwenu wadau.
Huyu jamaa hajaonekana hata kwenye shughuli za uchaguzi wa Chadema juzi, ndiyo tuamini kweli alinunuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app