Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Heri na iwe kwenu wadau.
Huyu jamaa hajaonekana hata kwenye shughuli za uchaguzi wa Chadema juzi, ndiyo tuamini kweli alinunuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi kati nilikaona mererani na wachina ! Eti kameleta wawekezaji, kajamaa kasanii ile mbaya !Heri na iwe kwenu wadau.
Huyu jamaa hajaonekana hata kwenye shughuli za uchaguzi wa Chadema juzi, ndiyo tuamini kweli alinunuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo aliunga juhudi kijanja pia hakutaka kunyea kambi anajua Maisha ubadilika sio kama ni waitara,karanga,mollel walinyea sahani kabisa zilizowashibisha.
.Obama Scholar Joshua Nassari, MAIDP Class of 2019
The youngest Member of Parliament in Tanzania, Nassari was first elected as a Member of Tanzania Parliament (MP) whenharris.uchicago.edu
Yuko hapo!
Heri na iwe kwenu wadau.
Huyu jamaa hajaonekana hata kwenye shughuli za uchaguzi wa Chadema juzi, ndiyo tuamini kweli alinunuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app