Mwanamuziki wa kitambo sana kwenye Bongo gospel music. Enzi hizo wenzake wanapigana vikumbo kwenye kutafuta locations kwa ajili ya ku shoot video za nyimbo zao! Yeye alikuwa anarekodi live, huku akionekana kama mtu w kuja hivi!!
Ila leo eti akina Neema Gopel Choir, akina Paul Clement, Rehema Simfukwe, na wengineo wengi! Ndiyo habari ya mjini kwa aina ile ile ya muziki wa akina John Lissu.