Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,768
Habari zenu wakuu katika jambi letu hili pendwa. Leo nataka kuelezea vile nilivyojikuta nimenaswa kihisia na mtu mmoja aitwaye imeldaB . Huyu bidada alikuwa anatafuta mume mie nikasema wacha nijaribu bahati yangu.
Daaah nikaingia inbox nikajieleza mtoto wa kiume akaniambia nipe namba yako nikutafute. Sikuwa na shida nikawa nimemtoa namba, lakini cha kushangaza huyu mtu nimejikuta namuwaza sana hata simgahamu vyema maana tulipanga tukutane yugahamiane ila baada ya kumpa namba kapotea mazima.
Hivyo basi nawaomba mmwambie imeldaB kuwa kuna mtu anaweweseka natamani nimuone huyu bidada hata asipokuwa wangu ila nimuone moyo wangu umeenza kubutwa kihisia na huyu mtu. Imelda kama utakuwa unasoma hili bandiko tafadhari nitafute. Daaah, niitieni huyu imelda 🥺
Happy dude