Yuko wapi Balozi Dkt. Deodorous Buberwa Kamala?

Toka aliposhindwa vibaya kwenye kura za maoni kwenye uchaguzi wa 2020 jimbo la Nkege hajawahi kuonekana tena sijui kajichimbia wapi?
Vp unataka mama amteueee

Ova
 
Vp unataka mama amteueee

Ova
Ikimpendeza Mama afanye hivyo, ni mchumi mbobevu na mwanadiplomasia mahili, nakumbuka akiwa waziri wa Afrika mashariki awamu ya nne alifanya kazi nzuri sana na alionesha uzalendo wa kiwango cha juu kwa kusimamia maslahi ya nchi.
 
Reactions: Ame
Toka aliposhindwa vibaya kwenye kura za maoni kwenye uchaguzi wa 2020 jimbo la Nkege hajawahi kuonekana tena sijui kajichimbia wapi?
Kwa hiyo hli nalo ni Great Thinking? Any way ni unstahiki na maoni yako
 
Ikimpendeza Mama afanye hivyo, ni mchumi mbobevu na mwanadiplomasia mahili, nakumbuka akiwa waziri wa Afrika mashariki awamu ya nne alifanya kazi nzuri sana na alionesha uzalendo wa kiwango cha juu kwa kusimamia maslahi ya nchi.
Mtu umezeeka hivyo bado unaomba uteuzi?....hovyo kabisa.
Huwezi kufanya shughuli zako?
Vijana wapewe nafasi...walete mawazo mapya.
Vitu vya kijinga kabisa.
 
Nahisi mtoa Mada wewe ndo kamala mwenyewe ,maana Kamala yupo huku dsm kwake Tegeta ana Biashara kubwa kubwa tu.
 
Mtu umezeeka hivyo bado unaomba uteuzi?....hovyo kabisa.
Huwezi kufanya shughuli zako?
Vijana wapewe nafasi...walete mawazo mapya.
Vitu vya kijinga kabisa.
sioni mawazo mapya kutoka kwa yeyote na hasa kwa vijana ambao hawajitambui
 
Mtu umezeeka hivyo bado unaomba uteuzi?....hovyo kabisa.
Huwezi kufanya shughuli zako?
Vijana wapewe nafasi...walete mawazo mapya.
Vitu vya kijinga kabisa.
Kwa hiyo kuporomosha matusi ndiyo mawazo mapya,kwani ukitumia lugha yenye staha utapungukiwa na nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…