kuna muda mtu anaamua kutulia kidogo huku akifanya mambo mengine. Lakini wimbo mwaka huu katoa labda kama hujausikia tu kwakua siyo hit song.Sisi watu wa kanda ya ziwa saa nyingine nashindwa kuelewa pale tunapofanikiwa na tukawa maarufu, kosa letu huja tukisha fika Dar. Sijui shida inayotupata huko huwa ni nini. Msodoki ni msanii ninaye kubali sana tungo zake na namna ya uchanaji wake, lakini muda umepita sasa bila kumsikia huyu bwana mdogo kunako trending list za muziki wetu huu pendwa. Yu wapi msodoki, mbona kajificha utadhani mashabiki zake tumemuudhi.
Mnaambiwa mwenzenu kapata maisha ndo maana kaacha kuganga njaaUkiona hivyo ujue Kafulia
Kama kulelewa na libibi la kizungu ndio kupata maishaMnaambiwa mwenzenu kapata maisha ndo maana kaacha kuganga njaa
View attachment 1949661View attachment 1949662View attachment 1949663View attachment 1949664View attachment 1949665
Naona msela kaoa chombo ya mambelezi.Mnaambiwa mwenzenu kapata maisha ndo maana kaacha kuganga njaa
View attachment 1949661View attachment 1949662View attachment 1949663View attachment 1949664View attachment 1949665
Kafata nyayo za husein machozi msukuma mwenzieMnaambiwa mwenzenu kapata maisha ndo maana kaacha kuganga njaa
View attachment 1949661View attachment 1949662View attachment 1949663View attachment 1949664View attachment 1949665
Ukiona mwanaume "my Love" nyingi ujue yeye ndio kaolewaMnaambiwa mwenzenu kapata maisha ndo maana kaacha kuganga njaa
View attachment 1949661View attachment 1949662View attachment 1949663View attachment 1949664View attachment 1949665
Yeah..anaishi kwenye mansion siku hizi..sio mwenzenu huyuNaona msela kaoa chombo ya mambelezi.
Hatari na nusu..Kafata nyayo za husein machozi msukuma mwenzie
Hahaaaaa..mkuu acha wivuUkiona mwanaume "my Love" nyingi ujue yeye ndio kaolewa
Mnaambiwa mwenzenu kapata maisha ndo maana kaacha kuganga njaa
View attachment 1949661View attachment 1949662View attachment 1949663View attachment 1949664View attachment 1949665