Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Ila mkuu; kwa kuwa masomoni Uswiss ndo hata ashindwe kutupia maoni yake humu jamvini siku moja moja kuhusu masuala ya kitaifa?Au inawezekana hatambui uwepo wa Jf Pengine? Ujue kitendo cha yeye na chama chao kukaa kimya kwa muda mrefu sana na kutochangia mijadala mbalimbali kunasababisha watu wasijue misimamo yao juu ya masuala hayo na hivyo kujikuta taratibu wakisahaulika katika medali za kisiasa.yuko masomoni uswisi kwa muda tu
Hapo kwenye bold nyekundu aliwadanganya wanamtwara. Sijui kama alikusudia au naye hakufahamu vizuri.Juzi juzi alikuwa Mtwara alipiga mkutano mkubwa sana huku mvua inanyesha akitoa ujumbe wa GESI KWANZA VYAMA BAADAYE. Aliwaambia wananchi wa Mtwara wasikubali gesi iende Bagamoyo hadi watakapofungiwa mtambo wa MW 300 na maCCM yarudishe dola milioni 532 yalizoongeza cha juu. Then akakutana na Waziri mkuu kujadili uendeshaji wa Bunge na malalamiko dhidi ya spika,,,, ina maana jamaa yupo sana na tatizo liko kwako kutofuatilia kiongozi wako yuko wapi na anafanya nini. Labda kama angekuwa anakwea pipa mara kwa mara kama FASTJET...
Mtatiro ni mwanasiasa mzuri tatizo anabanwa na wahafidhina ndani ya CUF ambao wanamuita kuwa ni mamluki wa CHADEMA
CUF ya waislamu,Mtatiro amepotea njia,na CHADEMA ya wakristo akina Zitto wamepotea njia,na CCm in ya mafisadi wachumia tumbo kwanza.Nchi dhaifu,wabunge ni dhaifu,wananchi ni dhaifu,mahakama ni dhaifu,polisi ni dhaifu,usalama wa taifa ni dhaifu,raisi mwenyewe ni dhaifu.mwwendowa alijojo tu hatujui tunakokwenda
Haya maudini mnayoshabikia leo mkiwa na amani tele ipo siku mtaandika mkiwa kwenye majeneza ya ndugu zenu au kwenye maandaki chini ya ardhi, ni ujinga mtupu kuendelea kumjadili mtu kwa dini yake, shame shame.
Juzi juzi alikuwa Mtwara alipiga mkutano mkubwa sana huku mvua inanyesha akitoa ujumbe wa GESI KWANZA VYAMA BAADAYE.
Aliwaambia wananchi wa Mtwara wasikubali gesi iende Bagamoyo hadi watakapofungiwa mtambo wa MW 300 na maCCM yarudishe dola milioni 532 yalizoongeza cha juu.
Then akakutana na Waziri mkuu kujadili uendeshaji wa Bunge na malalamiko dhidi ya spika,,,, ina maana jamaa yupo sana na tatizo liko kwako kutofuatilia kiongozi wako yuko wapi na anafanya nini.
Labda kama angekuwa anakwea pipa mara kwa mara kama FASTJET...
.......
Hapo kwenye bold nyekundu aliwadanganya wanamtwara. Sijui kama alikusudia au naye hakufahamu vizuri.