Habari za wakati huu, weekend inaendaje huko mliko wakuu
Binafsi nilikuwa sijui Hata kama leo ni jumamosi walai๐๐..tuachane na hilo ๐
Katika pitapita zangu mitandaoni leo nikakutana na picha ya Jackie Apiah (actress kama sio Nigeria basi Ghana)
Mara ghafla Id ya Mtende ikakatiza kichwani chwaaa๐.nikasema isiwe tabu ngoja Nimcheki ๐ณinaonesha post ya mwisho ni March...๐ค
Ninaimani kuna watu wanafahamiana nae humu ndani๐.huyu mtu huko alipo ni mzima?