Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,535 Reaction score 61,979 Jun 3, 2020 #1 Ni muda umepita sasa, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dokta Hussein Mwinyi hajaonekana hadharani. Tangu wakati wa bajeti ya Wizara yake, mpaka juzi uwekaji wa jiwe la msingi wa Ikulu ya Chamwino hajaoenakana! Je, ni wapi alipo Waziri wetu huyu wa Ulinzi?
Ni muda umepita sasa, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dokta Hussein Mwinyi hajaonekana hadharani. Tangu wakati wa bajeti ya Wizara yake, mpaka juzi uwekaji wa jiwe la msingi wa Ikulu ya Chamwino hajaoenakana! Je, ni wapi alipo Waziri wetu huyu wa Ulinzi?
The Boldly JF-Expert Member Joined May 21, 2017 Posts 2,377 Reaction score 5,150 Jun 3, 2020 #2 Yuko Zanzibar mkuu.....
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,617 Jun 3, 2020 #3 Umeenda Ngome ukamkosa?!
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,078 Jun 3, 2020 #4 Ni vema ukajua mambo meengi ila sio vema kujua kila jambo
Tajiri mpole JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 3,127 Reaction score 6,102 Jun 3, 2020 #5 Huu ni msimu wakusomewa visomo nakufukiwa makaburini na baharini.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 10,001 Reaction score 21,302 Jun 3, 2020 #6 wameshaanza kumkata huko zanzibar!!!
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,946 Jun 3, 2020 #7 hivi ni kweli eehhhhh!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,088 Reaction score 75,524 Jun 3, 2020 #8 Anapiga jaramba kupokea kijiti
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,388 Reaction score 30,375 Jun 3, 2020 #9 FORTALEZA said: Ni muda umepita sasa, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dokta Hussein Mwinyi hajaonekana hadharani. Tangu wakati wa bajeti ya Wizara yake, mpaka juzi uwekaji wa jiwe la msingi wa Ikulu ya Chamwino hajaoenakana! Je, ni wapi alipo Waziri wetu huyu wa Ulinzi? Click to expand... Ana imarisha ulinzi visiwani!
FORTALEZA said: Ni muda umepita sasa, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dokta Hussein Mwinyi hajaonekana hadharani. Tangu wakati wa bajeti ya Wizara yake, mpaka juzi uwekaji wa jiwe la msingi wa Ikulu ya Chamwino hajaoenakana! Je, ni wapi alipo Waziri wetu huyu wa Ulinzi? Click to expand... Ana imarisha ulinzi visiwani!
Z zanzibar huru JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 218 Reaction score 110 Jul 4, 2020 #10 siku 10 zijazo utamwona