Sema hii style ilikuwa inakupa views za kutosha 2017/19(Nilishawahi tumia pia), ila sikuhizi watu washashtukia, thumbnails na titles za hivyo hazina conversion kubwa, watu wengi wanapenda wale jamaa wa vichekesho siku hizi hata story za udaku watu wanafuatilia kupitia reliable sources kama Wasafi, Clouds,EMedia