Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Jul 11, 2013 #1 wadau habari, natumia simu tecno t605 kana uwezo wakuonyesha video kwa youtube tatizo inazingua haifiki mbali inakata Ingawaje mara chache inaweza kuwa fresh had mwisho,so tatizo ninini network au simu? au nifanyeje iwe powa! help me guys
wadau habari, natumia simu tecno t605 kana uwezo wakuonyesha video kwa youtube tatizo inazingua haifiki mbali inakata Ingawaje mara chache inaweza kuwa fresh had mwisho,so tatizo ninini network au simu? au nifanyeje iwe powa! help me guys