Kaman divyo wanavyotaka hivyo kuishi maisha ya kulalamika utajuaje?
Hujui wengine wamefundishwa bora waishi maisha ya kulalamika dunia hii maana si kwao, watapata ufalme wa mbinguni wa milele kwa baba?
Sasa watu kama hawa wakilalamika kwa muda mfupi maisha haya huku wakijua wanakwenda kuishi maisha ya uzima wa milele mbinguni wewe tatizo lako nini?