Young bingwa 2 Azam 0

Young bingwa 2 Azam 0

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Yanga bingwa kombe la kimataifa(kagame cup)mara ya pili mfululizo,"Rais" Manji alinda vyumba vya wachezaji uwanjani visihujumiwe na watu wa bakhresa



[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Rais wa Yanga,bwana Yusuf Manji akikaba mpaka penati kuhakikisha no hujuma leo jioni uwanja wa taifa

bingwa.jpg

Yanga wakishangilia baada ya kurudishiwa "ndoo" yao tena
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Amefanya vizuri make maharage achelewi kuingiza fitna zake,. Asante manji kwa kulinda chumba
 
Hureeee!! Weraa weraaaaa!! Ahsante young african. Ahsante manji kwa kuturudishia furaha yetu jangwani! Na mwakani tena panapo majaliwa!
 
Kombe la kagame ndo nini? Lini tutakuwa na kombe la jk? Sasa mnashangilia kombe la mbuzi? Upuuzi mtupu
 
Kombe la kagame ndo nini? Lini tutakuwa na kombe la jk? Sasa mnashangilia kombe la mbuzi? Upuuzi mtupu

Una matatizo ya akili hili ndo kombe bora kuliko la ligi kuu,mapinduzi na la urafiki ambalo sisi tulikataa kushiriki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom