"Youll never walk alone"

Ili Man U awepo, Msimu huu tutakua na top 8 hivyo usiogope.
 
mechi ya leo kwa kweli ilikua ya Stoke kama wangesoma alama za nyakati, Gerald alicheza chini ili kufisha pengo/maboko ya Kolo Toure, as a result ni kwamba ikabidi Lucas acheze chini zaidi, hii imesabisha kutengeneza nafasi chache sana, angalia hata aina ya mabao tuliyofunga..........wenzetu wamepata kona karibu 10 kati ya 1, that tells a lot, kwa beki hii ya Kolo tuna azi sana, tuombe Sakho arudi haraka...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…