Ingia kwenye browser yako mfano (ucbrowser)
1.Nenda kwenye web page ya Youtube
2.Ikishafunguka hakikisha ume sign in
3.Uta click hii sehemu
View attachment 609965
4.Utaenda hapa tena
View attachment 609966
5.Uki tap hapo UPLOAD itakuja hivi
View attachment 609970
Hapo utachagua video yako iko wapi uta select utakuwa umemaliza kazi mkuu.