Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,947 Reaction score 55,958 Dec 24, 2013 #21 Tunafika vizuri tu
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,792 Dec 24, 2013 #22 Kaka madeni nini?ukaze buti hujui kesho ni tar 25?
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,671 Dec 24, 2013 #23 Pamoja na ufisadi,Kupata kazi kwa upendeleo na kujuana...... Wenye nacho wametafuta kwa juudi na hawakuchoka pale walipo pata. Tatizo la tulio wengi tunaridhika na kidogo, tukiangalia leo bila kujali ya kesho.
Pamoja na ufisadi,Kupata kazi kwa upendeleo na kujuana...... Wenye nacho wametafuta kwa juudi na hawakuchoka pale walipo pata. Tatizo la tulio wengi tunaridhika na kidogo, tukiangalia leo bila kujali ya kesho.
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,119 Dec 24, 2013 #24 Wenye nacho saivi hawakuwa nacho zaman...hata mimi hapa sina LAKINI HADI KIELEWEKE MJINI HAPA ATII,...KEEP HUSTLING..NO LUCK,ni kutafuta tu..
Wenye nacho saivi hawakuwa nacho zaman...hata mimi hapa sina LAKINI HADI KIELEWEKE MJINI HAPA ATII,...KEEP HUSTLING..NO LUCK,ni kutafuta tu..