Baby sina shaka hizo ni mbio za panya tu, ubora wangu uko palepale si ndiyo baby.
Hilo lipo wazi hata yeye anajua.Mkuu nimekwambia nimeshindwa kumlipia kodi?
Baby unanipenda?Haswaaaa nilitaka nikwambie hivyo.
Baby please nijibu hapahapa, ili wapambe wake wampelekee taarifa.[emoji3][emoji3]
Baby nitakujibu ukija nichukua
Baby kuna kaka angu hapa...naomba nikujibu baadaeBaby please nijibu hapahapa, ili wapambe wake wampelekee taarifa.
Baby kama ilivyo desturi yangu kila siku hukwambia nakupenda, hakika sitachoka kukwambia nakupenda.Baby unanipenda?
[emoji85]Hilo lipo wazi hata yeye anajua.
Siamini babyBaby kama ilivyo desturi yangu kila siku hukwambia nakupenda, hakika sitachoka kukwambia nakupenda.
Wewe baby...wewe tuBaby kati ya mimi Zero IQ na barieda unampenda nani aswaaa?
very fine broh.. kiasi niko vizuri i thank God though bado mbombo ngafu.. kwema kabisawhat's up bro upo hapa hapa?? nilikuwa nakuwazia mambo mabaya sana heri nimekuona, kwema???
Baby nakupendaaa, kila saa nakuwazaaa, kwa mapenzi motomoto unayonipa.Siamini baby
Nitaamini vipi?Baby nakupendaaa, kila saa nakuwazaaa, kwa mapenzi motomoto unayonipa.
Baby Kwan kuna chochote ushaniomba nikashindwa kutimiza?Nitaamini vipi?