Kuna dogo mmoja kaulizwa na baba yake:
Baba: hivi mwanangu hiyo mitihani utafaulu kweli!?
Mtoto: ndio baba manake mitihani ilikuwa na jibu moja
Baba: kwa vipi!?
Mtoto: mlangoni waliandika YESU NI JIBU kwa hiyo majibu yangu yote ni hayo huoni ilivyorahisi!?
Baba: akazira!!