Yesu Mmasai

Yesu Mmasai

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,948
Reaction score
13,378
Habari dhenu wana grit thinka,ni hivi nilialikwa ktk kanisa moja hapa Jijini Arusha kwasababu kuna mdhungu kaja kutoka huko kwa watemi(USA)ili tukasikilize neno la Mungu,basi baada ya kwaya kutumbuiza ndipo alipopewa nafasi Mdhungu huyo ili atupe neno la Mungu huku tukiwa na mkalimani we2 tunayemkubali kuliko wote duniani,na mambo yakawa hivi:
MDHUNGU:Hallo evrybody
MKALIMANI:Hallo kila mtu
MDHUNGU:My name is Mr.Livingstone
MKALIMANI:Jina lake ni jiwe linaloishi
MDHUNGU:I come from New York
MKALIMANI:anatoka ktk Kiini Kipya cha Yai
MDHUNGU😛raise the Lord
MKALIMANI:Tumuombe utajiri
MDHUNGU:Jesus Masiah
MKALIMANI:Yesu Mmasai
Basi Wamasai wakavamia jukwaa kwa furaha baada ya kusikia kumbe Yesu ni mwenzao
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaaa.... Dah! Hii imepitiliza
 
:A S thumbs_down:
Duh utani mpaka kwa Yesu Mwana wa Mungu.
 
Back
Top Bottom