Amen, good message...Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu.
Nuhu alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alinyesha mvua kubwa na watu wakaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa; Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Sawa, utusaidie kuhusu Yesu na nabii mkuu wa mitume mkuu Dr. GeorDavie.Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Hatujui dakika wala saa ila tunapaswa kujiandaa,lakini sisi ni binadamu kila siku tunakufa kwasababu mbalimbali,ikitokea umekufa kabla ya Yesu hajarudi jitahidi uwe umeandikwa kwenye kitabu cha uzima kwasababu Yesu akirudi hata waliokufa watafufuliwa kwa hukumu ya mema au mabaya muda huo hakutakuwa na nafasi ya kutubu dhambi.Anakuja lini mkuu, ili tuwe tayari kumpokea
Ponda maisha wewe achana na hizo ngonjeraHatujui dakika wala saa ila tunapaswa kujiandaa,lakini sisi ni binadamu kila siku tunakufa kwasababu mbalimbali,ikitokea umekufa kabla ya Yesu hajarudi jitahidi uwe umeandikwa kwenye kitabu cha uzima kwasababu Yesu akirudi hata waliokufa watafufuliwa kwa hukumu ya mema au mabaya muda huo hakutakuwa na nafasi ya kutubu dhambi.
Ndugu umepewa uwezo wa kuchambua pumba na mchele,ni wewe kuchagua kati ya Geor davie na hiki nilichoandika kipi ni pumba na kipi ni mchele.Sawa, utusaidie kuhusu Yesu na nabii mkuu wa mitume mkuu Dr. GeorDavie.
Huyu anasema mwaka 2003?! Yesu alikuja physically na akampa funguo ila dunia nzima haikumwona!
Pia kasema Yesu akija ataomba kupanda gari yake toka airport. Je watu wote tutamwona akiwa kwenye gari ya GeorDavie kivipi? Kupitia runinga au itakuwajekuwaje?