Yesu Anajibu ni channel inayochunguza jinsi Yesu Kristo angejibu maswali, changamoto, na mahitaji ya watu wa siku hizi kwa kutumia mafundisho ya Biblia. Kupitia maswali na majibu, tafakari, na mafundisho ya kiroho, tunatafuta hekima, kweli, na mwongozo wa Mungu kwa maisha ya kila siku. Karibu ujifunze, ukue kiroho, na upate majibu yanayoongozwa na Neno la Mungu.
Watu makini wa JF, kwa heshima kubwa napenda kuleta kwenu wimbo tuilioupatia jina "Sauti ya Yesu".
Wimbo huu ni matokeo ya matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI generated song). Hii ikijumuisha audio pamoja na video zote zimetengenezwa kwa kutumia akili unde.
Yesu Anajibu Songs tunaamini kuwa, ukiachana na matumizi ya akili unde katika utengenezaji wa mziki huu, lakini ujumbe wa wimbo unafaa kwa matumizi ya kuimarishana kiroho.
Yesu Anajibu Songs tunaamini kuwa, katika wimbo huu wa "Sauti ya Yesu", utajifunza, utaburudika na kukua kiroho. Tunakutakia usikilizaji na...