ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
-
- #441
Ukirudi andaa majibu ya maswali haya:
Je, gated community ni nini?
Halafu swali la awali liko pale pale,
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.
Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
Kwa kuongezea.
Soko kubwa LA watu wanaohitaji Nyumba za kupanga/apartments ni watu wenye kipato cha Kati.most ni university graduates na mid level employees.wengi Wa hawa watu income bracket YAO ni chini ya 2M net.taking 25% estimate for housing Tunaona kuwa asilimia kubwa wako radhi kutumia 500,000 kwenye Nyumba. Kwa mantiki hii NHC walitakiwa kujenga apartments za bei hiyo kushuka chini.kulazimisha watu wakae Nyumba za $2000 ni ulimbukeni kwa kuwa eti ulaya zipo.someone should tell them that our GDP is $20B while Europe is over $10Tr.that's enough explanation.
Pole sana! Nikuulize wewe maana ya Gated community?
Nimekueleza hapo juu tofauti ya apartments kwamba zina level tofauti tofauti, sasa unasema gated community na apartments ni tofauti! Kwani gated community ni nini na apartments ni nini? How is the word "gated" derived? By the way, Doesn't people live in apartments form a community?
Mipe definition ya gated community unavyoifahamu wewe na exposure yako
Mkuu Kimweri nimependa maelezo yako, lakini challenge kubwa kwa haya mashirika ya umma ni construction costs na mfumo mzima ulivyo jinsi vinayoathiri ku-set competitive price, be it rental or sale price!
Sheria inawahitaji kutumia Public Procurement Act, na mara nyingine unakuta mradi ni affordable homes au low cost housing (How low is Low and how affordable is affordable is questionable) lakini anapewa Consultant Class One, na unajua bei za Class I na Class 5 au 7 ni tofauti!
Wakati huo kuna private developers wao wanatumia vibao tu (refer majengo yanayoanguka jijini Dar) utakuta Architect, Main Contractor, Sub Contractor, Electrical Engineer, Mechanical Engineer, Poject Manager, Quantity Surveyor etc lakini in reality kuna fundi ujenzi mzoefu alimradi anaweza ku-interpret michoro, na hao wengine ni geresha tu! Kwa mashirika ya umma, hao wote lazima wawe procured na kulipwa professional fees!
Hivyo ukiangalia mashirika ya umma, gharama ni kubwa na hivyo kuathiri sale/rental price maana kama investment lazima uangalie rate of return pia
Bado nasubiri specific marketing ya real estate, mbona hili umelikimbia "mwalimu" wangu? Au ndo ualimu wa voda fasta?
By the way, Doesn't people live in apartments form a community?
Unadhirisha jinsi ulivyo na short memory.
Hii sio mara ya kwanza unatumia neno gated community kumaanisha apartments!
Apartment na gated community ni vitu viwili tofauti kabisa dogo. Ukisema gated community kumaanisha apartments utachekwa na watu wanaojua maana yake.
Au ngoja nikuulize kirahisi, pale Shekilango magorofa/apartments za NHC unaweza kupaita gated community?
I thought you intended to educate us on this field of housing, but I can see you are now heading to mipashoz. Please come back to the point
Yaani wewe unachukua direct translation ya maneno unadhani ndio inachomaanisha. Siku ukisikia neno "window dressing" utadhani maana yake kuvaa nguo kwenye dirisha!!! hahahahahahahahahahahahahaha kijana bado una mambo mengi sana unayohitaji kufundishwa!!!
detartched homes.
Siwezi kukufundisha marketing ya real estate kabla hujajua vitu vidogo. Kama unadhani kuwa apartments ndio gated comunity huwezi kuelewa ninapokwambia targeted customers of gated community properties. Kwa sababu customer wa apartment na wa gated community property ni TOFAUTI kabisa.
Ndio maana nimekwambia lazima niwe na uhakika umeelewa basics kabla sijaanza kukufundisha vitu detailed. Ubishi wako unakuchelewesha kupata elimu.
Pole sana! Nikuulizewewe maana ya Gated community?
Nimekuelezahapo juu tofauti ya apartments kwamba zina level tofauti tofauti, sasa unasemagated community na apartments ni tofauti! Kwani gated community ni nini naapartments ni nini? How is the word "gated" derived? By the way,Doesn't people live in apartments form a community?
Mipedefinition ya gated community unavyoifahamu wewe na exposure yako[/QUOTE
Halafu dogo inaelekea communication skills ulipata F.
Ndio maana huelewi mambo yaliyoandikwa kwa hiyo lugha.
Yale yale ya kiingereza ulichosoma kwamba we only have people not peoples and we only have water not waters!
Sasa naomba unieleze hiyo communication skill yako na baada ya hapo ujibu hilo swali maana unajifanya mjanja sana kukimbia maswali! Uzuri wa jukwa hili hatuko peke yetu, wajumbe watapima maswali yangu na yako! Maswali mengi umeyakimbia, tukianza na haya mawili
1. Ulisema utaeleza specific marketing ya real estate ukala kona
2. Nimekuuliza watu wanaoishi kwenye apartment wana-form a community or not if apartment can not be gated community as per your argument? Najua hili litakuwa rahisi maana nimeishakupa DESA hapo juuu
By the way,how many international languages do you speak?
Ndugu muanzisha thread ana vitu anavijua na ndg zangu wengine haswa ZeMarcopolo wana vitu wana vijua.Lakini sisi wengine tunaosoma tunaona kama mmeacha kutuelewesha ,mmeingia kwenye mapambano ambayo sidhani kama kuna anayenufaika kati yenu wala sisi.Tumieni lugha nzuri,heshimiananeni na sisi tukisoma tupatate hamu ya kuendelea kusoma-Tunajifunza.La kama si hivo labda mna vita ya kibiashara au jambo lingine.Mtu anayejua jambo kinyume na lisivyo anahitaji kueleweshwa na kumuelewesha mtu si lazima umdharau,wengine tunaowasoma mpaka tunaogopa kuchangia maana huenda mkatujibu kwa njia hiyo.Anayefikiri 1+2=3,mueleweshe kuwa si hivyo. Mueleze kuwa ni 5 mpaka aelewe.Akikueleza kuwa ni 3,basi peaneni mikono.God bless us.