Yes....no....

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,144
Jamaa alirudi bush toka shule mjini... basi sharobaro mmoja wa pale bush akamfuata akamwambia nifundishe kuongea kiEnglish ili namimi wanikome... Jamaa akamwambia sharobalo ukikutana na mzungu sema HI, alafu akikuuliza kitu sema YES...maana wanaulizaga kama unataka kuwa rafiki yao... sharobalo katoka zake na wenzake kwenda kumendea watalii wanaopita apate zali lake... Zungu likapita na mahasira yake sharo akajichanganya...
Hi..
zungu likageuka.. Sorry are u the guy I met the other day?

Sharo kwa mbwembwe.. YES

Zungu.. So u thought I would'nt catch u

Sharo akasogea karib... YES

Zungu...


Haya jamani nimewaachia mmalizie wenyewe kilichomkuta sharo
 
Back
Top Bottom