Mpwa, acha kabisa habari za kuanzisha nyuzi, we baki kureply tu!Huyu 👸 ni mwanangu sana.Af ghafla bin vuu akamuch kuwa mwanangu.
Sema nini,
Hapo Pake👊🫶,
Shangazi sifungui nyuzi za maana kabisa,Ila unaonaje😂.
Atulie naona
Majukumu kijana wangu 🙃Shangazi,siku hizi nimekuwa mzito sana😂😂😂.Mara muda unapotea ghafla bin vuuu.
Naamini amekusikia uncle mtu!Atulie naona