Kiukweli kasi ya JPM kuleta maendeleo ya kweli ya kuonekanika, inawafanya wakweli wote kumkubali, wengine kiwaziwazi hadi kujitoa Chadema na kuunga mkono juhudi kwa kujiunga CCM, wengine wenye aibu, wamemuunga mkono JPM kimoyomoyo, wanasubiria tuu ile tarehe 28 October, kwenda kufanya mambo!.
P