Huyo mzayuni arudi kwenye mipaka yake aliyopewa mwaka 1947 na umoja wa mataifa, vinginevyo hakuna atakaekubali uonevu wa kiasi hiki, vitahaitaisha hii...View attachment 2808101
Bwana mkubwa sikushangai sana kwa majibu yako ila ni yule adui yaani ibilisi (baba wa uongo ) ameposha fikra zako na moyo wako ili usipate kujua kweli ya Mungu... ila kwa 100% + Mungu hausiki kwa lolote au chochote haya yote nikutokana na ukosefu wa Upendo kwa Mungu,kwa jirani zetu pamoja na tamaa za miyoyo yetu hivyo Mungu akatuacha tuenende katika tamaa zetu maana kumtii yeye kutoka kwetu hakupo tena
Propapaganda wamepakwa make up hao hii yote ni kutafuta huruma ya walimwengu, Kuna clip nimeona wanawapaka make up nyekundu ili ionekane wanavuja damu.