Mzanzibari Huru
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 393
- 234
Siasa za CCM za kuwafanya watz wajinga zimeanza kugonga ukuta, siasa ambazo tanganyika ilitumia kijivuli cha CCM kuitawala ZNZ yetu kwa ubabe, leo CCM wanatolewa mafuwa na watanganyika wenziwao.
CCM ikiondoka madarakani, ndio kaVuri lake hilo, haitorejea tena katik amasikio ya watu
Au liloakihsa ni kuuwana tu huko tanganyika
ahsanteni
CCM ikiondoka madarakani, ndio kaVuri lake hilo, haitorejea tena katik amasikio ya watu
Au liloakihsa ni kuuwana tu huko tanganyika
ahsanteni