RaJhumoR
Member
- Mar 1, 2021
- 37
- 45
Naelewa kuwa kampuni ikipitia new Board inakuwa na mabadiliko ila hili swala la kupush notification hizo za "Ongea Zaidi" "Data Zaidi" kila siku message za "Nunua kifurushi cha INTANETI cha Tsh 500 au zaidi mara 3 kwa wiki hii upate OFA ya GB1 kwa Saa24. Piga *147*00# kununua vifurushi vya INTANETI ili kupata OFA" "OFA KABAMBE!Ndugu mteja Lipa Kwa Simu na Mixx by Yas J'mosi Tar 19/4/25 ukiwa VIVA Supermarkets na urudishiwe hadi TSh 100,000 ya manunuzi yako. VM kuzingatiwa"
Karibu huduma ya Niwezeshe! Sasa unaweza kukopa hadi sh.375 haraka zaidi kwa ajili ya uhitaji wako. Piga *147*00# na chagua NIWEZESHE kupata mkopo.
na hswa hii
Dear Customer, you don't have enough balance to access this service. Please top up your balance and dial *147*00# to buy packages. Enjoy Yas services!
ZINACHOSHA bcs zote zile ni kama fake texts au void NI KAMA SCAMS