YAS 5G CPE ROUTER (UNLIMITED)

YAS 5G CPE ROUTER (UNLIMITED)

Joined
Aug 4, 2025
Posts
25
Reaction score
14
YAS 5G UNLIMITED CPE 🛜🇹🇿
Sasa ni Kwa Tshs. 250,000/= tu!

IMG-20250720-WA0068(5).jpg


Unajipatia Leo,
Kifaa bora na mahsusi kwa watumiaji wote wakubwa wa Data/Internet nchini Tanzania,

Inaweza kutumika sehemu zifuatazo:-

✔️ Watu Binafsi (Content creators)
✔️ Gaming Stations & Stationery
✔️ Saloon💅 & Babershops💇‍♂️✔
✔️ Car-wash & Juice Points
✔️ GYM & Body Fitness Centres
✔️ Makampuni Binafsi,
✔️ Mashirika (Umma na Binafsi)
✔️ Nyumbani (CCTV & Streaming)
✔️ Taasisi (Shule, Zahanati n.k)
✔️ Ofisi zote zinazohitaji Mtandao!

Unajipatia Kifaa (Router) yako pamoja na faida (Offer) zifuatazo👇

1. FREE DELIVERY 🛵🚍✈️📦
(Hii ni kwa wateja waliopo Mkoani DODOMA🛵📦 tu!)
Lakini pia,
Wateja wa Mikoa yote Tanzania,
Tunakutumia kifaa chako moja kwa moja kutokea Dodoma mjini kwa Magari (Bus) yanayokuja huko utakapotuelekeza wewe!
Usafuri Ni uhakika💯✔️
[Kampuni za Magari mengi tunayotumia kuagizia kwa wateja wa Mikoani Gharama haizidi 10,000/=]
Mfano:
Shabiby , Satco , Katarama, AN Classic, BM Coach , Adventure , Brightline, Superfeo n.k

IMG-20250824-WA0052.jpg


2. FREE INSTALLATION & SET-UP✅️
(Unapewa Mwongozo kamili & Maelekezo yote jinsi ya kuunganisha kifaa chako mpaka kuanza kukitumia)

3. OFFER INTANETI MWEZI 1 BURE ✅️
(Baada ya Manunuzi unapata Siku 30 za kutumia intaneti yenye kasi bila kikomo BURE!)

4. Unganisha mpaka Vifaa 64 ✅️
(Router hii kutoka YAS ina uwezo wa kuunganisha vifaa/Watumiaji 64 kwa wakati mmoja bila kukwama - No buffering, Hii inawafaa zaidi watumiaji wanaofanya biashara ya kuuza Data katika maeneo mbalimbali mfano, Sokoni)

IMG-20250718-WA0037(2).jpg


5. Distance/Umbali wa mita 100 ✅️
(Unganisha watumiaji mpaka walioko kati ya umbali wa mita 50 - 100 kutoka sehemu kifaa chako kilipo)

6. Data Bila kikomo & Kasi Kubwa ✅️
Router hii ina uwezo wa kukupatia mpaka Mbps 300 kutegemeana na mambo makuu mawili (02) tu!

1. Upatikananji wa mtandao wa YAS katika eneo lako

2. Speed/Kasi ya kifurushi ulicholipia kwa mwezi husika

IMG-20250824-WA0005.jpg


7. Gharama za Vifurushi & Kasi ✅️
Unaweza kulipia package ya chini kabisa kwa mwezi kwa Kuanzia Tshs. 70,000 @ 10Mbps🚀
(Hii inatosha kabisa Kwa matumizi ya kawaida yasiyo ya kibiashara)

Tazama Bei & kasi za Vifurushi vingine hapa unavyoweza kuchagua pia👇

Screenshot_20250824_155910_Instagram.png


Kwa ufupi,
Ukiwa mahali popote penye mtandao mzuri wa YAS✅️
Router hii ni option Bora zaidi kwako✔️

IMPORTANT NOTE:
MALIPO YOTE YA KIFAA & BANDO ANALIPIA MTEJA MWENYEWE MOJA KWA MOJA KWENDA >> YAS BUSINESS✅️
(YAS SECURITY DEPOSIT & 5G FWA DEVICE PAYMENTS)

SISI TUNAKUPATIA KIFAA CHAKO TU,
HATUHUSIKI KUPOKEA MALIPO YAKO YOYOTE❌️

Kulipia Fuata maelekezo hapa👇
Hatua zote ni sawa kwa wateja wote wa huduma za YAS BUSINESS
Jaza & Lipia kiasi kuendana na huduma unayohitaji wewe!
(5G Lipia 250,000/=)
(4G CPE Lipia 99,000/=)
(4G Pocket Mi-Fi Lipia 50,000/=)

IMG-20250520-WA0084(2).jpg


Unahitajika kuambatanisha au kuwa na vitu vifuatavyo:-

1. Majina halisi ya Mteja (Matatu)

2. Active E-mail address ya mteja
Mfano:
mosritelematics@yahoo.com
(Hii ni Muhimu kwa ajili ya kupokea Notifications/Jumbe zote muhimu mfano kukumbushwa muda wa malipo ukifika, kwa sababu laini yako inakuwa iko ndani ya kifaa tayari)

3. Picha ya Kitambulisho chako
Chochote kati ya
(NIDA, LESENI, PASSPORT au MPIGAKURA)

4. Sajili Namba Mpya ya YAS
(Unasajili Popote kawaida tu)

5. Pesa yako 250,000/=
(Ambayo unailipa Mteja mwenyewe kwenda YAS BUSINESS)

6. Meseji au Risiti ya Muamala wako baada ya kukamilisha Malipo yako ya huduma hii!
Mfano!

IMG-20250824-WA0006.jpg


NOTE:
Taarifa hizo zinahitajika kwa ajili ya Uthibitisho na Usajili wa mteja katika huduma tu! (YAS KYC VERIFICATION)✅️ na si Vinginevyo❌️

Mwisho kabisa,
UTARATIBU WA MALIPO YA BILL ZAKO ZA HUDUMA HII KILA MWEZI

NI RAHISI & PIA UNALIPIA MTEJA MWENYEWE >>>kwenda>>> YAS BUSINESS✅️
(Maelekezo/Hatua katika Picha👇)
Note:
Reference No = Namba ya Simu inayopokea Bando/Huduma

IMG-20250824-WA0044(1).jpg


Tupigie Simu tukuelekeze,
Tukuelimishe zaidi,

Karibu tukuhudumie Leo🤝🙏
Cc: MOSRI TELEMATICS🌍
"Local Insight, Global Tech"

☎️ +255717245161
📍 DODOMA
(Mikoa yote Tanzania tunakufikishia Huduma zetu!)

Screenshot_20250824_155113_Gallery.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom