Hapo kwenye red jamani ndo jina la alieandika hayo hapo juu, kwa haya huhitaji hata kumuuliza mtu huyu atakuwa Nape tu maana kavalishwa nguo na m/kiti wake halafu akamnyang'anya na kumwacha uchi sasa anatapatapa kabla MAGAMBA hayajamwangukia.. POLE FATAKI LA CCM[COLOR=blue said:Fataki;[/COLOR]1974950]WALIOCHANGANYIKIWA ZAIDI NI CHADEMA AMBAO MARA BAADA YA UCHAGUZI WAMEANZA "KUTEKELEZA" AHADI ZAO KWA WANANCHI WALIOWACHAGUA MAJIMBONI NA KWENYE KATA KWA MAANDAMANO YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU!! Tatizo hapa ni Slaa, hana kazi ya kufanya, hivyo anawashinikiza wenzake waache majimbo yao na kuhangaika hovyo na hoja ambazo wangeweza kabisa kuzi-raise Bungeni! Mshaurini Slaa, atulie kumsaidia "mchumba" ajifungue salama kajukuu.
Duuuh! Mkuu we ulimchagua? Au aliteuliwa na NEC. Labda 2015 tunachagua viongozi, wengi walipo sasa wameteuliwa either na NEC namaanisha MBUNGE au mtendaji wa kata namaanisha DIWANI.Uliyoyasema ni sahihi sana mwana JF. Kiongozi wetu huyu kumbe anatusikitisha wengi sana. Kwa kweli kama ni kupotea hapa tulipotea completely. Huu mtaji wa CCM according to Makamba Sr unatucost sana.
Nadhani tatizo lingine ni kwamba tulichagua mtu ambaye hajui majukumu ya kazi aliyoiomba. Kwa mfano anasema kuwa rushwa imetawala kwenye Wizara, SO WHAT!!!!! Nani mwenye jukumu la kuhakikisha kuwa rushwa inadhibitiwa. Kama imetawala si ina maana Hoseah ameshindwa kazi. Sasa kiongoz mkuu akilalamika hivyo ndo nini sasa. What a weak leader.....!!!!!
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. jamaa anawaambia mawaziri wake wakajitembeze....hakuna kizuri cha kuwapelekea wananchi. wanajua kizuri kiko wapi na kibaya kinajipitishapitishaje! fanya kazi blazaa achana na kutafuta sifa kwa kujipitishpitisha hazisaidii na wala hazikufikishi popote. cv yako ya mafanikio ndo itakayokulinda c vinginevyo

Ndugu zangu,
Nimemsikia Kikwete akiwaambia mawaziri kwenye semina elekezi Dodoma kwamba uchaguzi unapoisha unaashiria mwanzo wa uchaguzi unaofuata. Hivi nchi hii itakuja iendelee lini jamani kama mawazo ya kiongozi wetu yanajielekeza kwenye uchaguzi tu?
Halafu kinachoninyima raha ni kwamba kwa CCM maandalizi ya uchaguzi maana yake ni pamoja na kupiga propaganda za kijinga kama anavyowaagiza wasaidizi wake kwamba, waende vijijini wakapeleke habari kuhusu mambo yanayofanywa na serikali yake, kana kwamba hawana macho.
Badala ya kujielekeza katika mipango ya kukuza uchumi aliyowaahidi wananchi ndani ya miaka mitano, yeye anaongelea uchaguzi. Kwa kweli kama ni cha mtema kuni, sasa watanzania tunakipata kweli kweli kwa kumchagua huyu mswahili.
kaka samahani kama nitakua nimekuuzi,hivi ukilitazama bunge lenu la tanzania linauwezo kweli wa kuiwajibisha serikali?maana tuwe wawazi tuangalie matatizo machache ambayo yanatukabiri hadi sasa mfanowaliochanganyikiwa zaidi ni chadema ambao mara baada ya uchaguzi wameanza "kutekeleza" ahadi zao kwa wananchi waliowachagua majimboni na kwenye kata kwa maandamano yasiyo na kichwa wala miguu!! Tatizo hapa ni slaa, hana kazi ya kufanya, hivyo anawashinikiza wenzake waache majimbo yao na kuhangaika hovyo na hoja ambazo wangeweza kabisa kuzi-raise bungeni! Mshaurini slaa, atulie kumsaidia "mchumba" ajifungue salama kajukuu.
Ndugu zangu,
Nimemsikia Kikwete akiwaambia mawaziri kwenye semina elekezi Dodoma kwamba uchaguzi unapoisha unaashiria mwanzo wa uchaguzi unaofuata. Hivi nchi hii itakuja iendelee lini jamani kama mawazo ya kiongozi wetu yanajielekeza kwenye uchaguzi tu?
Halafu kinachoninyima raha ni kwamba kwa CCM maandalizi ya uchaguzi maana yake ni pamoja na kupiga propaganda za kijinga kama anavyowaagiza wasaidizi wake kwamba, waende vijijini wakapeleke habari kuhusu mambo yanayofanywa na serikali yake, kana kwamba hawana macho.
Badala ya kujielekeza katika mipango ya kukuza uchumi aliyowaahidi wananchi ndani ya miaka mitano, yeye anaongelea uchaguzi. Kwa kweli kama ni cha mtema kuni, sasa watanzania tunakipata kweli kweli kwa kumchagua huyu mswahili.
waliochanganyikiwa zaidi ni chadema ambao mara baada ya uchaguzi wameanza "kutekeleza" ahadi zao kwa wananchi waliowachagua majimboni na kwenye kata kwa maandamano yasiyo na kichwa wala miguu!! tatizo hapa ni slaa, hana kazi ya kufanya, hivyo anawashinikiza wenzake waache majimbo yao na kuhangaika hovyo na hoja ambazo wangeweza kabisa kuzi-raise bungeni! Mshaurini slaa, atulie kumsaidia "mchumba" ajifungue salama kajukuu.