Yapo mengi sana ambayo Kikwete ananiudhi lakini kwa hili la.... najisikia hata kukosa nguvu

kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. jamaa anawaambia mawaziri wake wakajitembeze....hakuna kizuri cha kuwapelekea wananchi. wanajua kizuri kiko wapi na kibaya kinajipitishapitishaje! fanya kazi blazaa achana na kutafuta sifa kwa kujipitishpitisha hazisaidii na wala hazikufikishi popote. cv yako ya mafanikio ndo itakayokulinda c vinginevyo
 
[COLOR=blue said:
Fataki;[/COLOR]1974950]WALIOCHANGANYIKIWA ZAIDI NI CHADEMA AMBAO MARA BAADA YA UCHAGUZI WAMEANZA "KUTEKELEZA" AHADI ZAO KWA WANANCHI WALIOWACHAGUA MAJIMBONI NA KWENYE KATA KWA MAANDAMANO YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU!! Tatizo hapa ni Slaa, hana kazi ya kufanya, hivyo anawashinikiza wenzake waache majimbo yao na kuhangaika hovyo na hoja ambazo wangeweza kabisa kuzi-raise Bungeni! Mshaurini Slaa, atulie kumsaidia "mchumba" ajifungue salama kajukuu.
Hapo kwenye red jamani ndo jina la alieandika hayo hapo juu, kwa haya huhitaji hata kumuuliza mtu huyu atakuwa Nape tu maana kavalishwa nguo na m/kiti wake halafu akamnyang'anya na kumwacha uchi sasa anatapatapa kabla MAGAMBA hayajamwangukia.. POLE FATAKI LA CCM
 
Kama akitaka kujua namna gani wasivyokubalika mwache awaruhusu waende, wananchi wamechoka na mipango hewa, propaganda za kijinga, hajajifunza pale alipotaka mawaziri waende kuwaelimisha wananchi kuhusu bajeti yake ile iliyopita kwa mbinde?

Wataenda kuamsha chuki za wananchi kuibiwa kura zao za majimboni ili hali kesi za kupinga matokeo zipo mahakamani, makovu ya uchaguzi hayajaisha
 
Uliyoyasema ni sahihi sana mwana JF. Kiongozi wetu huyu kumbe anatusikitisha wengi sana. Kwa kweli kama ni kupotea hapa tulipotea completely. Huu mtaji wa CCM according to Makamba Sr unatucost sana.

Nadhani tatizo lingine ni kwamba tulichagua mtu ambaye hajui majukumu ya kazi aliyoiomba. Kwa mfano anasema kuwa rushwa imetawala kwenye Wizara, SO WHAT!!!!! Nani mwenye jukumu la kuhakikisha kuwa rushwa inadhibitiwa. Kama imetawala si ina maana Hoseah ameshindwa kazi. Sasa kiongoz mkuu akilalamika hivyo ndo nini sasa. What a weak leader.....!!!!!
Duuuh! Mkuu we ulimchagua? Au aliteuliwa na NEC. Labda 2015 tunachagua viongozi, wengi walipo sasa wameteuliwa either na NEC namaanisha MBUNGE au mtendaji wa kata namaanisha DIWANI.
 
Du...hivi kweli mpaka leo watu hawajui vyama vya siasa kazi yake nini? Wanashangaa chadema kuelimisha wananchi kuhusu haki ya maisha yao na jukumu la serekali ya ccm miaka 50 sasa ....unafikiri ruzuku wanayopewa ni yanini?
 
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. jamaa anawaambia mawaziri wake wakajitembeze....hakuna kizuri cha kuwapelekea wananchi. wanajua kizuri kiko wapi na kibaya kinajipitishapitishaje! fanya kazi blazaa achana na kutafuta sifa kwa kujipitishpitisha hazisaidii na wala hazikufikishi popote. cv yako ya mafanikio ndo itakayokulinda c vinginevyo

Mkuu Manumbu!
Achana na huyo fataki, mambo mazuri ya maendeleo yakifanyika tutayaona hatuhitaji waje kutuambia, sasa kwakuwa hamna, ndio wanalazimishia kuja kutueleza.
Mkapa kajenga uwanja-kuna waziri yeyote katumwa kuja kutuambia huku vijijini?? Lakini mbona tunafaham?? Kuhusu makusanyo mazuri ya kodi aliyofanya Mkapa alikua anatueleza tu kwy hotuba zake tunaelewa hakutuma waziri kuja kutuambia, halmashauri ya moshi kwasasa inachokifanya mbona tunakifaham....??
huo umati wa watu kwy maandamano ya CDM unakuwepo kwa sababu serikali iliyoko madarakani imeshindwa kutekeleza makubaliano ya wananchi na viongozi waliyohaidiana kuyatekeleza watakapo wachagua hivyo wananchi wanajitokeza kwa CDM ili kusikiliza hoja za mbadala wa utatuzi wa mahitaji yao baada ya CCM kuwayeyusha kimjini-mjini.
 
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. jamaa anawaambia mawaziri wake wakajitembeze....hakuna kizuri cha kuwapelekea wananchi. wanajua kizuri kiko wapi na kibaya kinajipitishapitishaje! fanya kazi blazaa achana na kutafuta sifa kwa kujipitishpitisha hazisaidii na wala hazikufikishi popote. cv yako ya mafanikio ndo itakayokulinda c vinginevyo

Well said,hamna jipya hapo walitafuta mahali pa kwenda kupumzika na kupiga porojo.Wasomi mpaka waelekezwe kazi,sidhani.
 
Ndugu zangu,

Nimemsikia Kikwete akiwaambia mawaziri kwenye semina elekezi Dodoma kwamba uchaguzi unapoisha unaashiria mwanzo wa uchaguzi unaofuata. Hivi nchi hii itakuja iendelee lini jamani kama mawazo ya kiongozi wetu yanajielekeza kwenye uchaguzi tu?

Halafu kinachoninyima raha ni kwamba kwa CCM maandalizi ya uchaguzi maana yake ni pamoja na kupiga propaganda za kijinga kama anavyowaagiza wasaidizi wake kwamba, waende vijijini wakapeleke habari kuhusu mambo yanayofanywa na serikali yake, kana kwamba hawana macho.

Badala ya kujielekeza katika mipango ya kukuza uchumi aliyowaahidi wananchi ndani ya miaka mitano, yeye anaongelea uchaguzi. Kwa kweli kama ni cha mtema kuni, sasa watanzania tunakipata kweli kweli kwa kumchagua huyu mswahili.

kaka hapo kwenye red ndipo ninapopata napo tabu maana hatuna serikali inayojali uchumi mambo ni Siasa tu. Kweli safari ni ndefu hasa mnapokuwa na Rais anacheza ngoma tu. Sasa mawaziri kuacha kazi na kwenda kupiga porojo na propaganda kazi zitaenda kweli? sasa sioni tofauti ya Chama na serikali. kwani raia wanalalamika, mawaziri wanalalamika hat Rais analalamika sijui nani atachukua hatua. Kaaaaziiiiii kweli kweli
 
waliochanganyikiwa zaidi ni chadema ambao mara baada ya uchaguzi wameanza "kutekeleza" ahadi zao kwa wananchi waliowachagua majimboni na kwenye kata kwa maandamano yasiyo na kichwa wala miguu!! Tatizo hapa ni slaa, hana kazi ya kufanya, hivyo anawashinikiza wenzake waache majimbo yao na kuhangaika hovyo na hoja ambazo wangeweza kabisa kuzi-raise bungeni! Mshaurini slaa, atulie kumsaidia "mchumba" ajifungue salama kajukuu.
kaka samahani kama nitakua nimekuuzi,hivi ukilitazama bunge lenu la tanzania linauwezo kweli wa kuiwajibisha serikali?maana tuwe wawazi tuangalie matatizo machache ambayo yanatukabiri hadi sasa mfano
1.huduma mbovu za afya nchi nzima
hebu angalia kwenye swala hili ,toka nipate akili sijaona mabadiliko yoyote kuhusu huduma za afya,kwani kama huna hela kupona ni bahati na wala si huduma ambayo utaipata kutoka kwenye vituo vyenu vya afya.tatizo hili bungeni limejadiriwa tu toka miaka hiyo mpaka sasa akuna solution yeyote iliyo patikana ,sasa kwa hili faida ya bunge lako lipo wapi?
2.upatikanaji wa nguvu za umeme
bunge lako limejadiri sana lakini halikutoa solution
3.maswala ya elimu
hapa bado tunaendelea kupata elimu mbovu,lakini bunge letu limejadiri tu bila kutoa atua za kuchukua ili kuondoa tatizo hili
4.mfumuko wa bei
hapa tunaona kila kukicha vitu vinapanda bei na tatizo linalo sababisha tunafahamu,bunge limejadiri tu bila kuchukua hatua

sasa ukilitizama bunge letu limekua ni lakujadili tu na hakuna hatua linalochukua ili kuondoa hayo matatizo huku wananchi tukiendelea kuumia.sasa ndugu yangu naona toa njia nyingine ambayo itasaidia kuweza kuondoa kero za wananchi kwani mpaka sasa bunge limeshashindwa kazi.mimi binafsi naona wananchi tuungane tuiwajibishe serikali hata kwa viboko maana njia za kisiasa zimeshindwa.ikiwezekana kila raia ashike bakora tuandamane hadi ikulu tumchape raisi bakora kwa kila tatizo na tumpe solution ili akishindwa tumng'oe tu akuna kusubili.
 
Ndugu zangu,

Nimemsikia Kikwete akiwaambia mawaziri kwenye semina elekezi Dodoma kwamba uchaguzi unapoisha unaashiria mwanzo wa uchaguzi unaofuata. Hivi nchi hii itakuja iendelee lini jamani kama mawazo ya kiongozi wetu yanajielekeza kwenye uchaguzi tu?

Halafu kinachoninyima raha ni kwamba kwa CCM maandalizi ya uchaguzi maana yake ni pamoja na kupiga propaganda za kijinga kama anavyowaagiza wasaidizi wake kwamba, waende vijijini wakapeleke habari kuhusu mambo yanayofanywa na serikali yake, kana kwamba hawana macho.

Badala ya kujielekeza katika mipango ya kukuza uchumi aliyowaahidi wananchi ndani ya miaka mitano, yeye anaongelea uchaguzi. Kwa kweli kama ni cha mtema kuni, sasa watanzania tunakipata kweli kweli kwa kumchagua huyu mswahili.

H aha haaaaaaa hapo ndipo mjue sasa CDM nchi hii mtaisikia tu kuichukua . Jamaa wameisha anza kujipanga CDM matumbo joto
 
waliochanganyikiwa zaidi ni chadema ambao mara baada ya uchaguzi wameanza "kutekeleza" ahadi zao kwa wananchi waliowachagua majimboni na kwenye kata kwa maandamano yasiyo na kichwa wala miguu!! tatizo hapa ni slaa, hana kazi ya kufanya, hivyo anawashinikiza wenzake waache majimbo yao na kuhangaika hovyo na hoja ambazo wangeweza kabisa kuzi-raise bungeni! Mshaurini slaa, atulie kumsaidia "mchumba" ajifungue salama kajukuu.

tatizo jk alishawahi kusema ""upinzani ni vyama vya msimu"" sasa anaona jamaa hawapumziki dakika 120 wanakaba mmpaka penati
 
Hawa mawaziri, na kati bu wakuu watakapo anza aiara zao watakubwa na janga la zomea zomea hawatasahau maana watu wamechopka porojo wanataka kusikia vitu vya ukweli tu.
 
..we are fools.. sisi wa tz.. JK wala hahitaji kasirikiwa,,, Jichukie wewe kwanza na wa tz wenzako wanaoendelea kiweka CCM.. madarakani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom