Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,246 Reaction score 12,796 Apr 13, 2012 #1 Nahitaji kuweka hard disk mpya kwenye laptop Dell Latitude D600, natumia hii machine kwa matumizi madogo tu lakini speed ni muhimu hasa kwa games za watoto nk. Pia nataka kuongeza memory yake (RAM) kutoka 512MB hadi 1GB,
Nahitaji kuweka hard disk mpya kwenye laptop Dell Latitude D600, natumia hii machine kwa matumizi madogo tu lakini speed ni muhimu hasa kwa games za watoto nk. Pia nataka kuongeza memory yake (RAM) kutoka 512MB hadi 1GB,