Yapi maisha yenye furaha kati ya haya

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,404
1: Kuoa au kuolewa
2: Kuwa single (kutojihusisha kabisa na mapenzi
3; kuwa na michepuko (play boy/girl)
 
Maisha ya Single na pesa bana yananoga sana............. Uwe na nyumba nzuri ya kuishi... Uwe na gari/magari makali yenye hadhi.... Uwe na miradi yako kadhaa ya uhakika wa kuingiza pesa....... Afu uwe na active BlackSkinnedHead....... Daaahhhhhhh maisha haya ni balaaaaa
 
Kuoa... kuacha... kuwa na mahusiano na kawida.
 
Maisha yenye furaha ni maisha yanayonfurahisha anaye yaishi full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…