Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,473 Reaction score 4,007 Jun 15, 2019 #1 Kwa wale wadada ambao hutuacha na kusema sisi sio type zao na kwenda kwa wazee (sponsors) malipo ni hapa duniani, yani mkizaa mabinti zenu na wenyewe wataanza kutufuata sisi wakati huo tushakuwa wakubwa kama baba zao. Kwa hiyo…
Kwa wale wadada ambao hutuacha na kusema sisi sio type zao na kwenda kwa wazee (sponsors) malipo ni hapa duniani, yani mkizaa mabinti zenu na wenyewe wataanza kutufuata sisi wakati huo tushakuwa wakubwa kama baba zao. Kwa hiyo…
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,120 Reaction score 4,850 Jun 15, 2019 #2 Pole sana
Glenohumeral joint JF-Expert Member Joined Oct 29, 2017 Posts 2,055 Reaction score 2,914 Jun 15, 2019 #3 Heheheee.....jifariji mkuu
NYEKUNDU YA BIBI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 2,307 Reaction score 3,017 Jun 15, 2019 #4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watakutana na Nyete
Old story JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 2,265 Reaction score 2,155 Jun 15, 2019 #5 Maisha yatakuwa yamachange watakuwa wamekuja na stly mpya sio ya sponsor tena